Methali za waswahili zinazotumika katika kulea watoto

Authors

  • Alsaleh Saleh Sebha University, Faculty of Languages, Department of African Languages

Keywords:

Methali, mtoto, mzee, uswahilini

Abstract

Makala haya yamebainisha methali za Waswahili zenye kujihusisha na kulea na makuzi ya watoto. Hivyo, makala yalibaki ndani ya kuta za methali za Waswahili zinazowahusu watoto na dhamira za methali.  Waswahili waliokusudiwa na makala haya ni wale wanaoishi mwambaoni mwa Afrika ya Mashariki, hususani Wazanzibari. Katika makala mtafiti amezigawa methali katika dhamira mbali mbali; kama vile: Indhari, Hadhari, Wasia na nasaha, Kujenga heshima kwa wakubwa, Mapenzi kwa watoto. Mwisho wa makala mtafiti amethibitisha na amebaini kwamba Waswahili wanatumia methali katika malezi na makuzi ya mtoto, na kwamba methali zina mchango mkubwa katika malezi ya watoto.

Published

2023-06-01

How to Cite

Saleh , A. . . (2023). Methali za waswahili zinazotumika katika kulea watoto. Faculty of Languages Journal-Tripoli-Libya, 1(27), 217–199. Retrieved from http://uot.edu.ly/journals/index.php/flj/article/view/728
#