UCHAMBUZI WA MAANA ZA METHALI ZA KISWAHILI: Maana za Wazi na Fiche

Date

2019-1

Type

Article

Journal title

مجلة كلية اللغات - جامعة طرابلس

Author(s)

AHMAD ABDALLAH A BEN SUWED

Abstract

Ikisiri Makala haya yanahusu uchambuzi wa methali za Kiswahili ikiwa na lengo kuu la kubainisha maana za wazi na fiche au maana za ndani za methali husika. Lugha ya Kiswahili ina utajiri mkubwa wa methali ambazo hutumiwa kama chombo cha mawasiliano katika jamii. Hata hivyo si kila mwanajamii anafahamu maana ya ndani ya methali za Kiswahili sembuse wanafunzi wa kigeni katika taaluma ya Kiswahili. Makala haya yamejaribu kuchunguza methali za Kiswahili kwa kuelezea maana za wai na zile za ndani ili wanajamii ya Kiswahili na wasio Waswahili wajifunze zaidi. Data za utafiti zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka na kuchambuliwa kwa kutumia mkabala wa kimaelezo ulioongozwa na nadharia ya Simiotiki. Jumla ya methali 20 zimewasilishwa na kuchambuliwa maana yake ya wazi na ya ndani.